tag:blogger.com,1999:blog-28061765.post115772937981240487..comments2023-10-26T04:40:48.561-04:00Comments on Metty'z RefleXions - Tanzania in Focus: Can We Be Smart, Just a Little?Jaduong Mettyhttp://www.blogger.com/profile/03845759887672890549noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-28061765.post-1157780483721586292006-09-09T01:41:00.000-04:002006-09-09T01:41:00.000-04:00Waungwana,I greatly appreciate your comments. I th...Waungwana,

I greatly appreciate your comments. I think you are both on point. It is clear that our government officials have no clue or too naive. But whatever it is, it is certainly driving the country to a wide ditch.

I mean, it doesn't make sense to sell your crops for cheap the Vietnamese while we have both the expertise and capacity to add value before selling for a higher price. If the Vietnamese can trick us, I wonder what the rest of the world is capable of doing to us. But the bottom line is that we are too stupid, because we have done the same mistakes over and over again.

Dr. NNH, this is my take: if we can get ONLY 10 serious guys to run the government, I can guarantee you that Tanzania will join the developed countries in less than 15 years. But it appears that Boys II Men are nothing more than just pretty faces...so the same painful story will continue for the next 10 years.Jaduong Mettyhttps://www.blogger.com/profile/03845759887672890549noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-28061765.post-1157742271367019282006-09-08T15:04:00.000-04:002006-09-08T15:04:00.000-04:00Huyu Jamaa aliondoka nyumbani bila agenda. Akifika...Huyu Jamaa aliondoka nyumbani bila agenda. Akifika kule anashangaa kila kitu halafu kwa vile ana msuri wa kisiasa anaagiza mambo yafanyike kwa mtindo wa zima moto. Kwanza kwenye safari yake ameambatana wataalamu wangapi wa fani ya kilimo na biashara?
Mambo mengi ambayo viongozi wetu wanashangaa nje ya nchi pale ni utaratibu mzuri na wala si kioja.

Kwa nini asishangae akarudi kwanza nyumbani kujadiriana halafu akatuma watalaam kwenda kuhakiki alicho kiona?
Vietnam ni ulimwengu wa tatu kama sisi. Wao walianza kuwa na exposure ya kubwa ya dunia ya kwanza ndiyo maana wanaonekana ni wajanja kidogo lakini kifupi hawana nyimbo.

Kama unataka kufanya biashara ya madini ni vipi unaomba ushauri kwa mshona viatu?

Kwa nini hawa jamaa wasiwapendelee hata wafanya biashara wa kwao tu kama Arusha na kuhangaika kutafuta masoko ya mazao kama korosho hata kama ni kuanza kwa kuuza kidogo sana?

Nadhani hawa jamaa ni Ma handsome kiasi kwamba watu wanawapigia debe kwa hisia kuliko kwa uwezo wao halisi.

Wanabangaiza hiyo miaka 10 hao wanaanza.

Najua Metty huna agenda za kisiasa lakini nakushauri uanze kujenga hoja ya kuingia ndani ya siasa.
Wewe na Lowassa mnachotofautiana yeye ana Mvi sana wakati si mzee na wewe huna. Hiiiiiii!

Dr NNHAnonymousnoreply@blogger.com